Psalms 34:8-10


8 aOnjeni mwone kwamba Bwana ni mwema,
heri mtu yule anayemkimbilia.

9 bMcheni Bwana enyi watakatifu wake,
kwa maana wale wamchao
hawapungukiwi na chochote.

10 cWana simba wenye nguvu
hutindikiwa na kuona njaa,
bali wale wamtafutao Bwana
hawatakosa kitu chochote kilicho chema.

Copyright information for SwhKC